• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA FEDHA UCHUMI NA MIPANGO HALMASHAURI WILAYA YA GEITA YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: January 23rd, 2019

Kamati ya fedha uchumi na Mipango Halmashauri Wilaya Geita yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi mbali mbali iliyo katika utekelezwaji.

Katika kuhakiksha maendeleo ya wananchi yanakuwa kwa kasi na huduma zake zinakuwa zenye manufaa, Kamati ya fedha Uchumi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya Geita imezuru katika kata mbalimbali na vitongoji vyake  kukagua maendeleo ya Miradi  iliyo katika mipango ya Halmashauri.

Katika ziara hiyo iliyoongozwa na Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Bi.Khadija Said akiambatana na madiwani kadhaa  na wajumbe kutoka idara husika wamefanikiwa kukagua mradi wa Maji Chankorongo uliofungwa pump kuhudumia  vijiji vitano, huku gharama za ununuzi wa vifaa hivyo ukitajwa kugharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Milioni 21.

Pia Kamati hiyo  imefika kukagua ujenzi wa vyumba vya madarasa na  maabara  shule ya Sekondari Nyankogochoro kata ya Lubanga, unaotarajiwa kukamilika siku chache zijazo hali inayoleta matumaini ya kuongezeka kwa ubora wa miundombinu ya Elimu na ufaulu kwa masomo ya sayansi.

Mbali na Miradi hiyo Kamati imeweka wazi juu ya mpango wa kujenga Stend ya kisasa ya Mabasi   kata ya Katoro eneo lenye ukubwa wa Heka 44.7 na kazi hiyo itaanza mara baada ya kukamilika tathimini ya mradi huo.

Vituo vya Afya na Zahanati zilizopo ndani ya Halmashauri wilaya ya Geita vimekuwa sehemu ya ukaguzi wa  kamati,  huku ikionyeshwa kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa majengo manne ya kituo cha afya Nyarugusu unaogharimu kiasi cha Shilingi Milioni 400 kama sehemu ya kuimarisha huduma za afya.

Licha Halmashauri kutoa Fedha ndani ya  kata na vijiji ili kuongeza ufanisi wa Miradi lakini bado imebaini kuwa sehemu kubwa ya jamii  haina Muamko wa ushiriki katika maendeleo hasa huduma za Afya na Elimu.

Tangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA August 13, 2019
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA December 04, 2019
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kasi ya maambukizi ya UKIMWI Halmashauri ya wilaya Geita yaongezeka

    December 01, 2019
  • Viongozi wa Serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Geita waapishwa

    November 28, 2019
  • Halmashauri ya Wilaya ya Geita yawa chachu ya mwitikio wa Chanjo ya Surua-Rubella na Polio

    October 18, 2019
  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Watakiwa kuzingatia Maadili ya Utumishi wa Umma

    October 05, 2019
  • Tazama zote

video

Fursa za Uwekezaji Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa