Halmashauri ya Wilaya ya Geita inatoa huduma ya kukodisha mitambo kwa ajili ya shughuli za ujenzi kama vile Glader, Compactor vibrator na excavator kwa bei nafuu. Fika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji onana na Meneja wa Mitambo au piga simu namba +255 28 2520061
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa