TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita anawatangazia wananchi wote na umma kwa ujumla kuwa Halmashauri inauza Viwanja vilivyopimwa na matumizi mbalimbali katika kata ya Ludete,Mamlaka ya Mji mdogo wa Katoro
Bei ya viwanja ni kama inavyoonyesha kwenye jedwali
NA.
|
MATUMIZI YA VIWANJA
|
BEI YA KILA MITA YA MARABA (TSHS)
|
|
MAKAZI
|
1,000/=
|
|
MAKAZI NA BIASHARA
|
1,250/=
|
|
VIWANDA VIDOGO
|
1,500/=
|
|
TAASISI ZA UMMA
|
1,000/=
|
Waombaji wa viwanja wanatakiwa kuchukua na kujaza fomu za maombi ya viwanja kwa bei ya Tsh 20,000/= ambapo fomu zitatolewa :
1. Ofisi ya mtendaji Kata Katoro
2. Iliyokuwa ofisi ya uhasibu halamshauri ya Wilaya ,Geita Mji
3. Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Geita,Nzera kuanzia tarehe 04/12/2019.
Fomu zitarudishwa katika maeneo yaliyotajwa hapo juu.
Watakaorudisha fomu watatakiwa kulipa nusu ya gharama ya kiwanja kama malipo ya awali,Kiasi kinachosalia kinatakiwa kulipwa ndani ya muda huo,kiwanja hicho kitagawiwa kwa mhitaji mwingine na hakuna kiasi kitakachorudishwa.
Imetolewa na
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa