Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ofisi ya Afisa mwandikishaji wa Jimbo la Geita/Busanda, inawajulisha wananchi wote kuwa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura vituoni linaanza hivi karibuni. Hivyo Ofisi inakaribisha maombi kwa Watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Waandishi wasaidizi na BVR Kit Operators. Kwa maelezo zaidi fungua link hapo chini.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa